Hii ni kampuni ya utengenezaji na upigaji picha za video na kawaida katika viwango vya ubora wa hali ya juu
Pia tuna Jishughulisha na utengenezaji wa kava za Filam, Albam za nyimbo na uwandishi wa
SCRIPT pamoja na utengenezaji wa matangazo aina zote.(Graphic Desgner)

Pia ANOINTING MEDIA PRODUCTION
inajihusisha na ubunifu na utengenezaji wa NEMBO (logo) mbali mbali katika
ubora wa hali ya juu kabisa. kulingana na thamani ya Pesa yako ANOINTING MEDIA PRODUCTION “Ubora kwetu Hauepukiki"
Comments
Post a Comment